KONGAMANO LA
KIMATAIFA LA KISWAHILI
"Ustawi wa Kiswahili Duniani: Tulikotoka, Tulipo na Tuendako"
TAREHE 7-10 NOVEMBA, 2024 | HAVANA, CUBA
Kuhusu Kongamano
Kongamano la Kimataifa la Kiswahili ni tukio lenye hadhi ya kidunia, linaloletwa kwetu kwa hisani ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Serikali ya Cuba na Wadau wa Kiswahili Duniani kwa lengo la kukuza, kuenzi na kueneza lugha ya Kiswahili.
Karibu sana! ukutane na wataalamu, wakereketwa, na wadau wa Kiswahili toka sehemu mbalimbali Duniani. Utafurahi kutangamana nao na kuwa sehemu ya familia kubwa ya wasemaji wa Kiswahili. Jitayarishe kwa siku nne za mijadala, mafunzo na shughuli za Utamaduni na Utalii. Usikose fursa hii adimu, Jisajili sasa!
Wapi?
Havana, Cuba
Lini?
Alhamisi hadi Jumapili
Novemba 7-10, 2024
Watashiriki
Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Mhe. Dkt. Damas Daniel Ndumbaro
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo (WUSM)
Mhe. Humphrey H. Polepole
Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Havana, Cuba
Ratiba ya Kongamano
UFUNGUZI WA KONGAMANO
KUWASILI KWA WASHIRIKI & BURUDANI
Kisha Burudani itatolewa
MGENI RASMI KUWASILI
Programu itahusisha uimbaji wa nyimbo za Taifa
UTAMBULISHO
Utambulisho utafuatiwa na burudani ya Ushairi
SALAMU ZA KITAIFA NA HOTUBA YA MGENI RASMI
UZINDUZI WA KAMUSI
Kamusi ya lugha ya Kihispaniola na Kiswahili itazinduliwa, kisha kufuatiwa Burudani
CHAMCHA & MAPUMZIKO
Kisha kuelekea katika Bustani ya African Heros kwa ajili ya uzinduzi wa sanamu la Mwalimu Nyerere
UWASILISHAJI WA MAKALA
Uwasilishaji wa makala kuendelea ukumbini
UWASILISHAJI MAKALA NA USIKU WA MSWAHILI
CHAI & KUJISAJILI
Washiriki wote watahusika
UWASILISHAJI MAKALA NA MIJADALA
Wawasilishaji waliopangwa wataongoza programu
CHAMCHA NA MAPUMZIKO
Watu wote
UWASILISHAJI WA MAKALA NA MIJADALA
Muendelezo wa uwasilishaji makala
SALAMU ZA BUNGE
HAFLA YA UFUNGAJI
MAANDALIZI YA USIKU WA MSWAHILI
Washiriki kujiandaa kwa ajili ya programu ya usiku wa Mswahili
KUWASILI KATIKA UKUMBI WA GRAN MUTHU HABANA
Tayari kwa kuanza programu ya usiku wa Mswahili
HAFLA YA USIKU WA MSWAHILI
Programu ya Usiku wa Mswahili kutekelezwa
UFUNGAJI KONGAMANO NA USIKU WA MSWAHILI
Washiriki kuwasili katika ukumbi wa Gran Muthu Habana
Washiriki wote wa kongamano
MGENI RASMI KUWASILI
NENO LA UKARIBISHO
ONESHO LA MAVAZI YA KHANGA SEHEMU YA I
Kisha kufuatiwa na burudani
ONESHO LA KHANGA SEHEMU YA II
ONESHO LA MAVAZI SEHEMU YA III: KANZU, KOFIA, UBEBAJI BAKORA
BURUDANI YA MUZIKI NA KUFUNGA
Kupata burudani ya muziki
Eneo la Kongamano
Picha mbalimbali kuonesha mandhari ya jiji la Havana mahali ambapo kutafanyika Kongamano la Kimataifa la Kiswahili.
Havana, Cuba
Havana ndio mji mkuu na mkubwa zaidi wa Cuba. Ni moyo wa Mkoa wa La Habana, Havana ni bandari kuu ya nchi na kituo cha biashara. Ni jiji lenye watu wengi zaidi, kwa eneo ndio mji mkubwa kuliko yote, na wapili kwa ukubwa katika ukanda wa Karibiani. Idadi ya watu katika Jiji la Havana inakadiriwa kufikia ni 2,163,824, na ukubwa wa eneo lake ni 728.26 kmsq.
Clínica Central Cira García
Calle 20 NO. 4101 esq. a Av. 41 Miramar, La Habana, Cuba
Hospital Hermanos Ameijeiras
Calle, # 701 San Lazaro, La Habana 10400, Cuba
International Center for Neurological Restoration (CIREN)
Calle 216 esq. 13 Reparto Playa, Siboney, La Habana, Cuba
Hoteli
Baadhi ya Hoteli zinazopatikana katika jiji la Havana
Habari Picha
Bofya kwenye picha ili kuangalia kwa ukubwa picha za Kongamano
Wahisani
Kongamano la Kimataifa la Kiswahili ni tukio lenye hadhi ya kidunia, linaloletwa kwetu kwa hisani ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Serikali ya Cuba na Wadau wa Kiswahili Dunianit
TATHMINI YA KONGAMANO
Washiriki wote wa Kongamano la Kimataifa la Kiswahili lililofanyika jijini Havana nchini Kuba tarehe 8-9 Novemba, 2024 mnakaribishwa kuandika tathmini kuhusu Kongamano hilo kupitia fomu iliyopo hapa chini.
KONGAMANO LA KIMATAIFA LA KISWAHILI JIJINI HAVANA, NCHINI CUBA
7-10 /NOVEMBA, 2024
- Usijaze fomu hii zaidi ya mara moja.
- Maoni yako yatatumika kuboresha maandalizi ya Kongamano lingine la Kimataifa la Kiswahili
Mawasiliano
Waweza kutoa maoni yako au kuwasiliana nasi kupitia:-
Anuani
Kongamano la Kimataifa la Kiswahili 2024
Miramar-Playa, Havana, Cuba
Tupigie Simu
+53 7204 1075-77 (Cuba)
+255 755-458854 (Tanzania)
Tuma Baruapepe
havana@nje.go.tz(Cuba)
km@bakita.go.tz(Tanzania)
Machapisho
Machapisho mbalimbali kuhusu Kongamano












